Huduma zetu

Kukuwezesha kuishi maisha yenye uwiano na utimilifu.

Gerry health and beauty tunatoa huduma ya Tiba Za Mifumo ifuatayo

1. Matatizo Ya Mifupa na Maungio

Matatizo Ya Mifupa na Maungio
  • Mifupa kusagika katika Maungio
  • Maumivu Ya mgongo, magoti na

2. Mfumo wa kinga ya Mwili

Mfumo wakinga ya Mwili hasa kwa wale wote walio ugua muda mrefu au maradhi ya mara kwa mara bila kupona..

3. Afya ya uzazi kwa wanawake (akina mama)

Afya ya uzazi kwa wanawake (akinamama) kama ...
  • kutokwa na uchafu sehemu za siri pamoja na miwasho ( fungus)…
  • mimba kuhabirika kabla ya muda wake ( missicarriage)
  • kuto pata mimba kabisa
  • mvurugiko wa hedhi
  • Tiba ya uvimbe kwenye kizazi bila upasuji