Huduma zetu Kukuwezesha kuishi maisha yenye uwiano na utimilifu. Gerry health and beauty tunatoa huduma ya Tiba Za Mifumo ifuatayo 1. Matatizo Ya Mifupa na Maungio Matatizo Ya Mifupa na Maungio Mifupa kusagika katika MaungioMaumivu Ya mgongo, magoti na Book An Appointment 2. Mfumo wa kinga ya Mwili Mfumo wakinga ya Mwili hasa kwa wale wote walio ugua muda mrefu au maradhi ya mara kwa mara bila kupona.. Book An Appointment 3. Afya ya uzazi kwa wanawake (akina mama) Afya ya uzazi kwa wanawake (akinamama) kama ... kutokwa na uchafu sehemu za siri pamoja na miwasho ( fungus)…mimba kuhabirika kabla ya muda wake ( missicarriage)kuto pata mimba kabisamvurugiko wa hedhiTiba ya uvimbe kwenye kizazi bila upasuji Book An Appointment